Stone killer
Senior Member
- Mar 21, 2023
- 101
- 192
Habari wanajamvi,
Nisiuchoshe mkono kuandika mengi ilihali mnajua Hali halisi, hivi juzi nmetoka makambako vocha zmepanda bei kutoka mia tano hadi mia 6 yaani kimahesabu vocha zimepanda bei kwa asilimia 20,
This is daylight robbery and no one care.
Nikahisi labda Umakambako unansumbua aka ukienyeji mwingi leo npo Dar City Center vocha zimepanda kwa asilimia kumi, kwa anayejua chochote jaman atupe ABCs juu ya nani yupo juu ya hili swala, au Tozo na Kodi zimepanda mazee? Ukute mimi sio Mtanzania na nchi yangu inanchukulia kama stowaway TU, kama mnapandisha hadi vocha bila kutuelekeza maana yake nyinyi ni Watanzania bora kuliko sisi.
Mnaiba rasilimali, tumekausha, mmetunyima ajira tumekausha, mmepandisha Kodi kwenye misalalizo yetu ya bajaji, boda na magenge tumekausha, now mmeambua hadi hela mmezipandisha bei, maana nikinunua vocha ni kama nimennua hela. Na log off.