Hili swala la Juventus kupanga matokeo hamjalijadili?

dr namugari

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2022
Posts
10,466
Reaction score
18,206
Nimeona ktk seria a ya kule nchi Italy timu yangu pendwa Bibi kizee wa torini ameshushwa had nafsi ya kumi na 11 katk msimamo wa msimamo wa ligi hyo na kupelekea torini kusalia nafsi ya 11 na alama zake 23

Hoja
Hi limekuaje na nn kimepelekea kupelekea jamaa Hawa kushushwa Hadi hyo nafsi ,hili siyo la Mara ya kwanza Bibi kizee huyu kupigwa rugu zito na wasimamiaji wa mpira nchini Italy

Wenzetu wako very straight haswa kwenye maeno ya kanuni na Sheria zilizopo

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Walifanya udanganyifu kwenye masuala fedha, hasa kwenye usajili na mishahara ya wachezaji, ndio maana wamepigwa nyundo
 
Naye mkurugenzi was ufundi was Tottenham amehusishwa kwenye sakata hilo la juve, na amepigwa nyundo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…