Habari wakuu!
Mm ni mzazi na mlezi!! Vyuo vya maendeleo ya jamii (FDC)! Ni Vyuo vya serikali ambavyo vipo chini ya usimamizi wa VETA! Vyuo hivyi vinatoa mafunzo ya ufundi stadi kama ya Vyuo vya VETA, mfano kozi ya umeme, magari, ushonaji, uashi, useremala n.k! Hata mitihani wanayofanya ya mwisho inatungwa na VETA na inafanana pia na wasimamizi na wasahihishaji wanafanya VETA.
Changamoto ya Vyuo hivi
1: Haina walimu wa kutosha.
2: Vigezo vya mwanachuo kujiunga na Vyuo hivi ni elimu yoyote bora tu ujue kusoma na kuandika, swali linakuja, Vigezo vya VETA kujiunga ni kuwa na elimu ya sekondari, mthani wa mwisho unatungwa na VETA, kitu kinasababisha Hawa wanafunzi wa Vyuo hivyi kufeli Sana, sio kwamba walimu wao hawafundishi ni uwezo wap kuwa mdogo!
Mfano Kuna topic moja kwenye somo la Engineer science linaitwa Strength of materials, hii topic ipo form five kwenye physics, mwanafunzi ambaye hata darasa la pili hakusoma unamfundisha somo hili ni kutomtendea haki! Hii imechangia sana Vyuo hivyi vya FDC kuwa na ufaulu mbaya Sana!
3: haiwezekani chuo cha ufundi alafu mkuu wa chuo hicho kasoma arts, English, kiswahili nk, huyu mkuu hawezi kuwa creativity kwenye nyanja ya ufundi, vyuo vingi vya FDC, wakuu wake ni walimu wa arts, tofauti na VETA, ambayo wakuu wote ni ma Engineer!!
Naomba serikali ilitazame hili, vyuo hivyi vina chukua wanafunzi wengi but hamna quality training!!