Hili tamasha la Wasafi nadhani liitwe Diamond Festival na sio Wasafi Festival

Kíba alikuja na tamko akijua atavuruga hali ya hewa. Masikini hakusoma alama za nyakati, yeye ndio kapotezwa. Sijui washauri wake hawamshauri vizuri au wanakusudia kumpoteza? Unatoaje wimbo na tamko muda huu wa wasafi festival na utegemee upate trend?
 
Lol
Mwanaume maneno yanakutoka kias hicho!!!!
Utakuwa mimba kisingeli wewe sio bure [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mnabishana lakini fiesta na wasafi vyote vya mtu mmoja alieamua kujiwekea upinzani mwenyewe ili awapige vzuri.

Nyie kuleni burudani kusaga apige hela.
Kusaga akili mingi!

Show ilikua na mapungufu machache sana ila kama raia wanasubiri jamaa ashuke watasubiri hadi kiama kwa spidi anayoenda nayo, ndio kwanza anaanza !!
 
Lol
Mwanaume maneno yanakutoka kias hicho!!!!
Utakuwa mimba kisingeli wewe sio bure [emoji23][emoji23][emoji23]
Huna lolote utaniambia ambalo litanifanya niwe offended.

Nakucheka kwa dharauuuuu and i guess you lost your virginity at the age of 9 ndio maana akili huna
 
Huna lolote utaniambia ambalo litanifanya niwe offended.

Nakucheka kwa dharauuuuu and i guess you lost your virginity at the age of 9 ndio maana akili huna
Nan kakwambia humu kuna mtu atakuwa offended kwa maneno?
Yaan wewe unabishana na kila mtu humu kuhusu wasafi festival hujion kama una shida?
Hebu rudi ufunzwe na wazazi kwanza maana huna adabu kabisa kijana.
 
Hongera zao sana,mafanikio ya huyu jamaa yanatupa changamoto sisi watoto wa maskini tukijituma tunaweza sana.
Vijana tuna uwezo mkubwa ila mtaji tatzo,by the way tukiamini tufanyacho tutafanikiwa

Big up bwana Diamond
 
Mwisho wa siku its all about business...

Kilichopendeza ni ile style ya wasanii wa zamani kuimba nyimbo zao, alafu nyimbo ya mwisho anaimba aliyo fanya collabo na msanii mwingine alafu huyo msanii hujitokekeza... safi sana...

Ferouz alizingua, alikua haimbii kitu, playback mwanzo mwisho mpaka Jay alivyoingia...

Nimefurahi kuwaona wasanii wa zamani... safi sana...


Cc: mahondaw
 
Mimi najiuliza hivi Mondi angewezaje kuja na hiyo festival kama bado angekuwa kwenye himaya ya Klauz, si angebaki kusubiri fiesta?

Itanishangaza sana kama naye ataumia kwa Konde Boy kuondoka 'nyumbani' kwenda kujitegemea.
Ah ah watanzania bana rahisi sanakuwacontrol ukiwajua kwasababu ya usahaulifu...nani kakwambia diamond hayupo himaya ya clouds...unamjua joseph kusaga wewe aka suge knight
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…