Hili tamasha la Wasafi nadhani liitwe Diamond Festival na sio Wasafi Festival

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] amber lulu na gigy money ni wasanii???
 
Ah ah watanzania bana rahisi sanakuwacontrol ukiwajua kwasababu ya usahaulifu...nani kakwambia diamond hayupo himaya ya clouds...unamjua joseph kusaga wewe aka suge knight
Entity mbili tofauti.
Sio clouds group of companies....
 
Wasanii wazamani(kizazi cha dhahabu) wamenifikirisha sana mkuu yn ngoma zao bd zpo moyoni kwa watu nawatu wanazipenda sana sasa nashindwa kuelewa hawa jamaa walikwama wapi mana wengiwao wamepotea kabisa nakwasasaiv kila wanavyojaribu kuzaliwa upya ngoma inakataa sasa najiuliza nikwamba uwezo wao wakutunga manyimbo makali umepotea ama vp mana kama nisaport sisi tunachohitaji ninyimbo nzr tu hatuangalii inaujumbe gani, nyimbo yko itapenya tu
 
Nan kakwambia humu kuna mtu atakuwa offended kwa maneno?
Yaan wewe unabishana na kila mtu humu kuhusu wasafi festival hujion kama una shida?
Hebu rudi ufunzwe na wazazi kwanza maana huna adabu kabisa kijana.
Mimi nikufunze wewe mwenye chuki janamke gani wewe usiejielewa badala ushoboke angalau utoe kimaso maso ka ukoo kenu tukajadili humu unakalia majungu.

Shauri yako na hivi una sura mbovu shape namba saba million 5 tu kuipata wewe na mume wako hadi mkope na mkishakopa ni mwendo wa ugali na sukuma wiki hadi deni liishe mamaako!

Nabishana na haters yani anamchukia mondi alafu jana kaangalia tamasha mwanzo mwisho huyo ni hater au mpenzi hater
 
Kwanza mmepunguza kiingilio mpaka 5000 wakati wasafi wameweka 10000, 500000 na mil 1 na wamejaza mpaka wengine wameshindwa kuingia kwenye show uoni ni aibu kuongea hiyo kauli yako.
Haufatilii Ila unashabikia, mahaba yakizidi huleta upofu na kufunga uwezo wa kufikiri, hapakuwepo na kiingilio Cha 1m.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…