Hili Tangazo la Ada Bima la Tanzania Commercial Bank linasikitisha

Hili Tangazo la Ada Bima la Tanzania Commercial Bank linasikitisha

Kommando muuza madafu

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2022
Posts
3,216
Reaction score
7,254
Hili Tangazo linasikitisha sana kwa sisi wenye watoto.

Linasema "Nani anaijua kesho yake, leo upo kesho haupo. Leo mzima kesho sio Mzima. Nani atasomesha watoto wako"

Katika kitu ambacho viumbe vyote vyenye Pumzi ya uhai vinafanyiwa ukatili ni mauti ya umpendaye. Nyuma unaacha shida na mateso za kihisia pia kwa wale wakupendao.
 
Back
Top Bottom