Hili Tangazo linasikitisha sana kwa sisi wenye watoto.
Linasema "Nani anaijua kesho yake, leo upo kesho haupo. Leo mzima kesho sio Mzima. Nani atasomesha watoto wako"
Katika kitu ambacho viumbe vyote vyenye Pumzi ya uhai vinafanyiwa ukatili ni mauti ya umpendaye. Nyuma unaacha shida na mateso za kihisia pia kwa wale wakupendao.