Hili tatizo la ajira ni kubwa sana tukubali kuanza hata kwa mtaji mdogo

Joined
Jun 24, 2025
Posts
5
Reaction score
3
Nawashauri vijana tukubali kuanza biashara hata kwa mtaji mdogo tafuta kizimba au sehemu mnadani omba bidhaa kwa mali kauli

Ukihitaji ushauri zaidi ni Follow Justine mtasiwa au Justine mitumba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…