Alvin Slain
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 6,375
- 3,663
Habar ndugu wanabodi.
Tatizo hili sijui ni mimi tu au na wengine ni kwamba mtu yoyote akifanya kosa au kitu cha aibu ninakua ninaona aibu mimi badala ya yule aliyefanya aone mwenyewe"" Sijui ni kitu gani yaani kwa ujumla sipendi mtu afanye kitu cha aibu, nifanyeje ili nisione aibu kwa jambo lisilonihusu.