iNine9
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 4,412
- 8,198
Wataalamu habari zenu? Aisee nina mdogo wangu wa kike she is 20's, mwezi wa 7 mwaka jana alijifungua so nikawa nmeenda kumcheck ila nilishangaa kuona ana vipele mikononi na mgogoni na shingoni (hayo maeneo niliviona mimi kwa macho yangu) ila pia alinambia vipo tumboni kuzunguka kiuno, na mapajani viko familiar na hivyo kwenye picha hapo chini [emoji116]
Nilimpeleka kwa wataalamu mbali mbali wa afya walimwandikia madawa na sindano katumia lakini wapi haviponi, na kwa mujibu yeye dogo alisema vilimuanza mimba ilipoanza kukua ila now kajifungua still anavyo na ikifika usiku huwa vinawasha.
Msaada wataalamu dada yangu huyu atumie dawa gani?