Hili Tukio la Mwezi Kugubikwa na Msalaba

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,156
Reaction score
13,258
Kwa siku mbili zilizopita Mwezi umeonekana ukiwa umegubikwa na msalaba kwa ambao huenda mmeangalia.........tena msalaba ukiwa umekoza zaidi

nimegoogle nikaona tu mjadala wa suala kama hili ingawa sijapata kuona aliyechangia mantiki yake ila dodosa yangu kwa baadhi ya watu wanasema hali hii inapotokea ni ishara ya maradhi kugubika jamii pia

mwenye uelewa zaidi na hili wadau

picha ya hapa ni picha aliyopiga mdau wakati wa mjadala huo wa 2014

 
Acha kutawaliwa na imani za kishirikina. Hiyo ni illusion ya mwanga uliokumbana na vitu vingine angani kama unyevu, mawimbi au miali mingine. Inaelezeka kisayansi.
 
Hapo umeona umejibiwa kisayansiii....
 
chunguza vizuri hata style ya mbwa kubweka imebadilika hapo mtaani kwenu...
 
Sisi dini yetu haitafuta makandokando kuihalalisha. Dini yetu inajitetea yenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…