Hili Tukio la Mwezi Kugubikwa na Msalaba

Dini yetu haitafuti vitu vya kijinga jinga ili ionekane ni dini ya kweli. Hata kama lingeonekana kanisa apo, isingemaanisha kitu chochote, tungechukulia poa tu.
hapa nimekusoma
 
Mshana Jr, mzizi mkavu na wengineo wakaribie.
Kuna baadhi ya matukio hayana maelezo zaidi ya kuitwa matukio ya ajabu ni matukio yaliyokosa hata maelezo ya kisayansi japo kiroho huwa na maelezo yake
Yapo mengi ya namna hii na mojawapo la karibuni ni lile lililotokea Tanga mjini soko la Ngamiani mwezi uliopita, ule mwembe uliokuwa na Sura ya Nyerere RIP wakati wa jioni jua likizama, wengi waliponda sana lakini matukio ya namna hiyo yapo sana
 
Mkuu hilo tukio mimi lilinipita hebu niwekee kapicha kama unako kalikobak maktba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…