Mufti kuku The Infinity
JF-Expert Member
- Sep 21, 2019
- 6,053
- 10,032
Kipi kilikuwa kinafanyika hapa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Awamu ile ilikuwa lazima uonekane unachapa kazi kwa style yoyote.Mods please msiipeleke hii mada jukwaa la photos...(Asanteni)
Kipi kilikuwa kinafanyika hapa?
View attachment 2166648
Sijawahi ona hii ila baada ya kusearch online nikakuta hii picha iko sehemu mbili tu.
FB na Twitter.
FB kuna username yenye jina 'Vuguvugu la Katiba' inatumia hii picha kama profile picture.
Na twitter hii picha imekua retweeted na user anaitwa John original tweet ikitoka kwenye page ya Change Tanzania mwaka 2018.
Tweet hii inahoji ikiwa ni sahihi kupima urefu wa samaki wakiwa wamechemshwa na kama hiyo haitasababisha samaki kupungua urefu.
So jibu ni hapo ulikua unafanyika upimaji wa samaki.
Maarifa ya Nyumbani mkuu🤣
Hii nchi ilipitia nyakati ngumu sana
Mshana Jr 2025 nasubiria UTABIRI wako Mana ule wa 2020..NEC WALIVURUGAHii nchi ilipitia nyakati ngumu sana
Mshana Jr nimeona nimeona maandalizi..... A.K tusubirie tuone itakuwajeYajayo yanafurahisha japo Rost ham na kilinge chake wanataka kufanya mengineyo
Labda Google lensNimekuwa interested tu kujua umesearch hizo 'picha' kwa kutumia keyword gani!