Hili tukio lilinipita; kipi kilikuwa kinaendelea hapa?

What was happening here??


  • Total voters
    6
  • Poll closed .
Sijawahi ona hii ila baada ya kusearch online nikakuta hii picha iko sehemu mbili tu.

FB na Twitter.

FB kuna username yenye jina 'Vuguvugu la Katiba' inatumia hii picha kama profile picture.

Na twitter hii picha imekua retweeted na user anaitwa John original tweet ikitoka kwenye page ya Change Tanzania mwaka 2018.

Tweet hii inahoji ikiwa ni sahihi kupima urefu wa samaki wakiwa wamechemshwa na kama hiyo haitasababisha samaki kupungua urefu.

So jibu ni hapo ulikua unafanyika upimaji wa samaki.
 
Huo ulikuwa upimaji wa ukubwa wa samaki kwenye Kantini ya Bunge kule Dodoma kwenye uongozi wa Hayati Magufuli.

Na ikatolewa ripoti Bungeni juu ya ukubwa wa samaki hao waliopimwa kwa rula wakiwa wameshakaangwa.

Mambo yalikuwa moto sana
 

Nimekuwa interested tu kujua umesearch hizo 'picha' kwa kutumia keyword gani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…