Hili tukio limenigusa sana: Bibi kizee wa miaka >100 abakwa kwa zaidi ya masaa 8!!


He is beyond psycho! He is a sorriest excuse for a human being.
 

Ni tukio gumu JS,

Mtu unapoangalia title ya habari kwenye gazeti, unaweza kudhani ni maigizo...

Inauma sana ukivuta picha na kulitazama tukio hilo kwa jicho la kibinadamu!
 
Ni tukio gumu JS,

Mtu unapoangalia title ya habari kwenye gazeti, unaweza kudhani ni maigizo...

Inauma sana ukivuta picha na kulitazama tukio hilo kwa jicho la kibinadamu!

...ndio ilivyo mkuu, "mkuki kwa nguruwe....!"
 
Sad story!. Hapa kuna asilimia nyingi za ushirikina au mbakaji hana akili timamu au jamaa alikuwa amelewa.

Kweli dunia imekwisha. Mtu mwenye akili timamu anafanya unyama wa aina hiyo.

Polisi ni wapumbafu.

Viongozi wa kijiji ni mpumbafu.
 
hahaaaa bibi anaonekana sukari guru mwanzo mwisho..masaa nane mtu anatweta tu mbona hatari..hahahaaaaaa pole bibi ndo ukubwa huo
 
Pole sana bibi.
Lakini je, hata kwa kuhisi, bibi hakuona anapelekwa direction nyingine?
Kwa masaa yote hayo nane kwanini hakupiga kelele?
Nahisi walikubaliana, bibi akasema "ingiza kichwa tu, kisha mwaga uji" jamaa akajibu poa.

Kilicho fuata sasa, ndio jamaa akatoa mauvundo yake yote, yaani non stop masaa 8.
Sijui cobra alitema sumu mara ngapi?
 
DC

Hebu fanya mambo na uongozi wa JF tuweze kuchangia.

Huyo mtu hafai kuwachiwa kuwa huru. Naamini tupo wengi radhi kugharamia kesi

Wabakaji hawakubaliki hata kidogo
 
Pia polisi wamekataa kumchukulia hatua mbakaji na pia uongozi wa kijiji nao hauna mpango wa kumsaidia huyu bibi ingawa mhusika yuko pale pale kijijini anatanua!!

Ningependa sana kujua kwa nini polisi wamekataa kumchukulia hatua huyo mbakaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…