Khaaa.Pole sana bibi.
Lakini je, hata kwa kuhisi, bibi hakuona anapelekwa direction nyingine?
Kwa masaa yote hayo nane kwanini hakupiga kelele?
Nahisi walikubaliana, bibi akasema "ingiza kichwa tu, kisha mwaga uji" jamaa akajibu poa.
Kilicho fuata sasa, ndio jamaa akatoa mauvundo yake yote, yaani non stop masaa 8.
Sijui cobra alitema sumu mara ngapi?
Pole sana Bibi. Mh dunia hii jamani?!!
Ni kweli huyo mtu hana akili kusema kweli hata kama yeye anajiona mzima.
Kuhusu ushirikina mh! Labda kama kutakuwa na backup story kijijini hapo kuwa wazee wanahusiana na utajiri ambapo kama ipo basi huyo mbakaji atakuwa alikuwa anavizia huyu bibi kwa muda mrefu mpaka akamlia timing ya kwenda kujisaidia. Otherwise mh!!
Afu hayo masaa manne ndo kuwa alikuwa anashangilia kukata utepe au? Eh sometimes wanaume wengine nashindwa kuwafikiria kwa kweli.
Afu hao police na wahudumu wa jamii???? ah Ustawi wa jamii bure kabisa.
Hili tukio linaonyesha jinsi binadamu tunavyokosa utu na kushindwa kumuogopa Mungu. Ni tukio la kukera sana na kila mwanajamii anatakiwa kulilaani
Ni nyakati za mwisho