Ketoka
JF-Expert Member
- Sep 23, 2015
- 1,117
- 1,966
Sasa hivi imekuwa kama aibu ukimwambia mtu au ukijitambulisha kuwa Mimi natokea Sengerema au naishi Sengerema kutokana na matumizi ya lugha wanayoitumia vijana wa siku hizi
Ni tukio lililotekea sehemu siku za hivi karibuni ambapo mzee wa makamo alikuwa anawaulizia vijana mambo kadha wa kadha,Kijana mmoja akamuuliza" Mzee umetokea wapi" Mzee kuwambia natokea Sengerema...vijana wakaanza kucheka na kumwambia kumbe wewe ni Msengerema mzee
Utasikia vijana wanaambizana hadharani kuwa "wewe acha usengerema"
"Kumbe wewe ni msengerema aisee" utadhani anamaanisha wewe unaotokea Sengerema kumbe la hasha ni tusi limetolewa hivyo
Siku hizi vijana hutukanana kwa tusi la USENGEREMA,hili ni neno limetokana au limenyambuliwa kutoka lugha isiyo rasimi pia ya neno "USENGE" ambalo kwa mujibu wa maana isiyo rasmi ni "WATU WANAOFANYA MAPENZI YA JINSIA MOJA HASA WANAUME"
Hili neno USENGEREMA linawadhalalisha watu waishio wilaya ya Sengerema,tunaomba mamlaka inayohusika ipige marufuku matumizi ya neno hili kutumiwa na vijana popote walipo maana linawapa wakati mgumu wananchi wa Sengerema
Vijana acheni kutumia wilaya ya Sengerema kama tusi kwenye maongezi yenu,inakera watu waishio wilayani Sengerema