Africa Tanzania
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 1,504
- 2,272
Mimi nasimamia biashara zangu nyingi tu, zenye faida japo sio kwa 100%
Wazo langu ni
Mteja anakuja kwangu, anaweka pesa yake mfano 100,000/=
Halafu kila mwezi atakuwa anapata commission ya 15% kutoka kwangu!
Hii itafanyika kimkataba na kisheria zaidi....
Na mteja huyo atakuwa na uwezo wa kuchukua pesa yake aliyoweka mara baada ya mkataba wake kuisha!
Wazo ni hilo....
Naombeni changamoto zake au maswali nitayajibu!