Africa Tanzania
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 1,504
- 2,272
Halafu kila mwezi atakuwa anapata commission ya 15% kutoka kwangu!
Je huo mkataba ni kwa muda gani? unafikia ukomo wakemara baada ya mkataba wake kuisha!
asilimia 15 ni nyingi mno, labda Kama unataka kumdhulumu. Kiwango rafiki si zaidi ya asilimia 5. Na kiwango cha kuwekeza kisiwe chini ya laki 5.Mimi nasimamia biashara zangu nyingi tu, zenye faida japo sio kwa 100%
Wazo langu ni
Mteja anakuja kwangu, anaweka pesa yake mfano 100,000/=
Halafu kila mwezi atakuwa anapata commission ya 15% kutoka kwangu!
Hii itafanyika kimkataba na kisheria zaidi....
Na mteja huyo atakuwa na uwezo wa kuchukua pesa yake aliyoweka mara baada ya mkataba wake kuisha!
Wazo ni hilo....
Naombeni changamoto zake au maswali nitayajibu!
Je huo mkataba ni kwa muda gani? unafikia ukomo wake
asilimia 15 ni nyingi mno, labda Kama unataka kumdhulumu. Kiwango rafiki si zaidi ya asilimia 5. Na kiwango cha kuwekeza kisiwe chini ya laki 5.
Una Mali isiyohamishika pindi ukishindwa kunirudishia hela yangu? Hapa wewe ni mkopaji na unakopa kwa riba hila sasa mkopaji anamuwekea mkopeshaji masharti! Maajabu haya
Ukiwa tayali niambie nkupe ka milion niwe nchukuapo huto tu asilimiaMimi nasimamia biashara zangu nyingi tu, zenye faida japo sio kwa 100%
Wazo langu ni
Mteja anakuja kwangu, anaweka pesa yake mfano 100,000/=
Halafu kila mwezi atakuwa anapata commission ya 15% kutoka kwangu!
Hii itafanyika kimkataba na kisheria zaidi....
Na mteja huyo atakuwa na uwezo wa kuchukua pesa yake aliyoweka mara baada ya mkataba wake kuisha!
Wazo ni hilo....
Naombeni changamoto zake au maswali nitayajibu!
Ukiwa tayali niambie nkupe ka milion niwe nchukuapo huto tu asilimia
15℅ ni nyingi mno itakugharimu, fanya hata 5 au 7
Hii naona haina tofauti na wanayoifanya mtaani.Unakopa laki kwa mwezi unamlipa laki na 20.Ukishindwa mnaweza kukubaliana akapokea 20 kama faida take na mkataba wa laki kwa laki na 20 unabaki palepale.Tofauti hapo itakuwa kuandikishiana kisheria.Unaweza boresha kwenye hiyo asilimia 15%japo wengi wameshauri upunguze na muda wa mkataba kuwa mrefu badala ya kupunguza asilimia ya faida.Mimi nasimamia biashara zangu nyingi tu, zenye faida japo sio kwa 100%
Wazo langu ni
Mteja anakuja kwangu, anaweka pesa yake mfano 100,000/=
Halafu kila mwezi atakuwa anapata commission ya 15% kutoka kwangu!
Hii itafanyika kimkataba na kisheria zaidi....
Na mteja huyo atakuwa na uwezo wa kuchukua pesa yake aliyoweka mara baada ya mkataba wake kuisha!
Wazo ni hilo....
Naombeni changamoto zake au maswali nitayajibu!
Huu ni mfano mkuu!