Hilii la ajabu...

B'REAL ,
Niruhusu kidogo niweke sawa hii maneno.
Ni kwamba haiwezekani Binadamu (Mwanaume) afe uume umelala na baadae uje usimike, katika mazingira yeyote yale haiwezekani 100% .
Kinachowezekana ni mtu kusimika katika nyakati zile za kukata roho (sakaratu)
So many cases za wanaume kufa wamesimamisha zipo.
Hata katika familia yangu mimi a such case imeshatokea , na solution yake uume husika haulali hadi pafanyike any alternative to allow dischurge of sparm , hutumika njia ya kuchuliwa mara nyingi na mbegu hutoka.
Baadhi ya watu hua nasikia wanasema (Japo mimi sijawahi ona) Kwamba ikiwa marehemu husika kaacha mke,
basi atawajibika ku'penetrate kwake (but not a real game) hadi manii yatoke.
Na endapo maiti husika haijakaa kwa muda mrefu mbegu hua valid , kitu ambacho fertilazation inaweza kuchukua nafasi yake,
kama ilivyotokea kwa huyo mama.
 
Hiyo imetoka kwenye kisa na mkasa na Salim Kikeke wa BBC.

Ni vituko vya kweli vinavyotokea duniani.
 

Acha kutuzuga google uone maneno kibao
 
kwani manii ni kama mkojo!? hebu jaribuni kufanya uchunguzi mjue manii hutengenezwa wapi. msidanganyike.. sio kazi ndogo kiwanda cha hiyo kitu mashine yake iko kichwani. hivyo sio kweli hayo myasemayo na kuyasikia.
 
Acha kutuzuga google uone maneno kibao
hakuna tofauti na nilichoeleza hapo juu ,coz zile erection zinatokea kwenye process of death (mtu still akiwa hai) na hata ejaculation hutokea mtu akiwa hai na siyo ameshakuwa maiti eti anaerect hlf anaejaculate.
 
huyu nae anatafuta sifa za kijinga kuwaaminisha watu kitu ambayo haiwezekani,yeye ni changu alipigwa na kidume ambacho hakijui kwa aibu akaamua kumsingizia r.i.p wa watu,hii dhambi ya kunajisi maiti haitamwacha kamwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…