sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Kwa ufupi hiki kilichofanyika ni uhaini kwenye katiba ya marekani na adhabu pekee ni kifo.
Mama Clinton alilipa majasusi waweze kuingilia mifumo ya mawasiliano kipindi cha kampeni kuingilia hoteli ya trump na baada ya kampeni kuingilia mifumo ya white house lengo likiwa ni moja kwa moja kufanya ujasusi na ku hack mifumo ya ict ili kutengeneza connection ya kumbambikia jumba bovu Trump aonekane alikuwa na mahusiano ya moja kwa moja na russia katika skendo iliyopikwa ya russian hoax.
Ajabu ni kwamba ni zaidi ya siku 2 sasa, news network kama CNN, MSNBC, CBS, ABC.. na magazeti kama Newyork times na Washington post yapo kimya licha ya kwamba kile kipindi walikuwa mstari wa mbele kwenye tuhuma za Russia. hoax, kwa sasa mambo yanazidi kuwa clear kwaninini wapo kimya? Integrity ya hizi media ipo wapi?