bongo-live JF-Expert Member Joined Jul 3, 2013 Posts 1,141 Reaction score 1,294 Jun 28, 2016 #81 hongereni
adden JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 7,033 Reaction score 15,638 Jun 28, 2016 #82 Magreat thinkers hao bana!ila me naamini tanzania bado sana kumfikia kenya!wakenya wanapiga kazi sana asee wako progressive sana wanapenda kazi sio kama sisi wengi wetu hatuko serious na maisha ya kazi
Magreat thinkers hao bana!ila me naamini tanzania bado sana kumfikia kenya!wakenya wanapiga kazi sana asee wako progressive sana wanapenda kazi sio kama sisi wengi wetu hatuko serious na maisha ya kazi