Wadau heshima kwenu.
Naendelea kupata maoni yenu kama kawaida, naomba kwa mwenye uzoefu wa hizo gari tajwa hapo juu aniambie nini hasa utafauti wake hasa kwenye
1. Ulaji wa mafuta..wastani km ngap kwa lita 1 kwa zote 2
2. Ipi ipo comfortable zaidi ya ingine
3. Ipi ina nguvu zaidi ya ingine
Nimesoma seemu wakadai yenye 2.5L ni nzuri offroad na 3.0L ni nzuri on road sasa mimi ni mtu wa sehemu zote hizo je nichukue ipi?
Asante. Pia ukishauri ni toleo la mwaka gani itakuwa poa zaidi ila ni kuanzia 2005 had 2012.
Asanteni