Hilux betri mbili kuifanya itumie betri moja

Hilux betri mbili kuifanya itumie betri moja

Joined
Sep 25, 2023
Posts
22
Reaction score
38
Habar wakuu
Naomba kuuliza je kuna madhara gani au faida gani pale Hilux Double cabin engine 3L Diesel yenye betri mbili za N50 kila moja, kuifanya itumie betri moja?
Nimeziona hilux kadhaa zimebadilishwa mfumo zinatumia betri moja tu ya N70
 

Attachments

  • 20230924_183425.jpg
    20230924_183425.jpg
    899 KB · Views: 5
Kwann unawaza kutoa betr ...kuna shda gan zikiwa double tuazie hapaa kwazaaa
Nimewaza kuifanya iwe betri moja kwakuwa muda betri zikiisha inakubidi kununua zote mbili kwampigo sasa naona kama nigharama.sina IC wala sijaongeza radio natumia tu iliyokuja na gari ndio mana nimeona niulize kwanza kwenu watalam
 
Back
Top Bottom