MWISHO WA SHAMBA
Member
- Sep 25, 2023
- 22
- 38
Asante chief je inaweza kubaki betri moja ya N50 au lazima kuweka yenye uwezo wa juu zaidi i.e N70.?Toa betr kata waya acha ivo ivo io betr ya pili huA NI ya redio tu na ac
dah! kwanini hajajibu hili swali!!Kwann unawaza kutoa betr ...kuna shda gan zikiwa double tuazie hapaa kwazaaa
Nimewaza kuifanya iwe betri moja kwakuwa muda betri zikiisha inakubidi kununua zote mbili kwampigo sasa naona kama nigharama.sina IC wala sijaongeza radio natumia tu iliyokuja na gari ndio mana nimeona niulize kwanza kwenu watalamKwann unawaza kutoa betr ...kuna shda gan zikiwa double tuazie hapaa kwazaaa