Mzito Kabwela
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 18,887
- 7,673
- Thread starter
-
- #21
'Rais Kagame anajulikana kuwa ana ndoto za kufanya kabila lake la Hima au kujenga Dola la Bahima kwa lengo la kuitawala Afrika Mashariki kama alivyofanya litawale Rwanda kwa kuwakandamiza Wahutu waliowengi.Ujinga mtupu
Vipi nasikia hata Dr.Dau kuchaguliwa kuwa balozi ni ushauri wa Kagame.
Unawafananisha Watusi na Israel daaa! Kweli nakubaliana na ule utafiti.'Rais Kagame anajulikana kuwa ana ndoto za kufanya kabila lake la Hima au kujenga Dola la Bahima kwa lengo la kuitawala Afrika Mashariki kama alivyofanya litawale Rwanda kwa kuwakandamiza Wahutu waliowengi.
Watutsi ni kama Wayahudi wa Israeli, wanaaaminil, wanamini kuwa wanastahili kuwa watawala tu siyo watawaliwa. Rais Kagame ni mtu mjanja sana. Anatumia mbinu za kiujanja unjana (manipulations). Kila hatua anayoifanya ni lazima kuingalia kwa makini sana. Siku zote anakuwa na mipango isiyo wazi.'- Gazeti la Rai, July 11,2016
I wonder kuna watu wana matatizo ya akili. Huyu mwanzisha mada atakua ni mhutu.Unawafananisha Watusi na Israel daaa! Kweli nakubaliana na ule utafiti.
Anamdhihaki mwanzisha uzi mkuu hujamwelewa?....
.....Mnama Kahawa imeisha?
Israel wanaitawala dunia na hawafiki 8milion. Fikiria sawasawa usikurupuke kujibu hovyo hovyonchi ya kufikirika mbona mnawapaisha sana hawa jamaa unataka kutuambia wabantu hawana akili sio hiyo empire nimesikia siku nyingi sana alafu watusi ni watu wachache sana
Sasa unajiona ulivyo mpumba.vu? Ona mwanzoni kabisa nilivyoanza kuandika. Ngoja nikukumbushe mpumbavu Ritz. Nimeandika mgombea mmoja amefadhiliwa fedha nyingi....kwa vyovyote sio Magufuli. Ungetulia ukaacha kuongozwa na upumb.avu uliokithiri kichwani mwako usingeandika ujinga huu badala yake ungeandika kinyume chake. Ukijiona mjadala unakuzidi uwezo Piga kimya tu. Wewe mijadala unayoiweza ni ile ya Mohammed Said sio hii inayohitaji kusoma na kufuatilia. Ficha upumbavu wakoPro-Chadema hamna hoja mara ya kwanza mlisema bila Lowassa, Magufuli asingekuwa rais leo mmekuja na drama zingine mnataka kutuambia Kagame ndiyo kumuweka Magufuli madarakani?
We mtusi nini?Ujinga mtupu
We mtusi nini?Ujinga mtupu
Mkuu Kikubwa ni uwepo wa dhamira ya hao Bahima. Tuamini tupo safe lakini tuwe waangalifuAssumption tu. Hakuna kitu kama Hima Empire. Acheni ujinga fanyeni kazi. Mnawaogopa wanaume wenzenu afu ka kundi kadogo. Kuna mwanafalsafa wa kigiriki aliwahi kusema "All Africans regardless of their nations share equal mind to the rest of the races" Mkuu ndio maana ya kusoma vitu tofauti. Hii dhana ya hasa Hima imeandikwa na watu wengi
I will never in any way be threated na African kutoka West, East, Sou th or Central. Mwenye uelewa kaelewa.
Halafu we jamaa kiswahili chako sikielewi vizuri... umezaliwa sehemu gani tanganyikaAssumption tu. Hakuna kitu kama Hima Empire. Acheni ujinga fanyeni kazi. Mnawaogopa wanaume wenzenu afu ka kundi kadogo. Kuna mwanafalsafa wa kigiriki aliwahi kusema "All Africans regardless of their nations share equal mind to the rest of the races"
I will never in any way be threated na African kutoka West, East, Sou th or Central. Mwenye uelewa kaelewa.
Mkuu huyu jamaa unayemjibu mi nishamshitukia. Inawezekana unawajibu bhahima wenyewe. Andiko lina mashiko sana haswa ukizingatia upepo wa kisiasa unavyoenda katika maziwa makuu. Na tukumbuke this is a long term planMkuu Kikubwa ni uwepo wa dhamira ya hao Bahima. Tuamini tupo safe lakini tuwe waangalifu
Angalia unavyojichanganya na upumba.vu wako wewe si ndiyo umenipa hii link hapa chini.Sasa unajiona ulivyo mpumba.vu? Ona mwanzoni kabisa nilivyoanza kuandika. Ngoja nikukumbushe ******** Ritz. Nimeandika mgombea mmoja amefadhiliwa fedha nyingi....kwa vyovyote sio Magufuli. Ungetulia ukaacha kuongozwa na upumb.avu uliokithiri kichwani mwako usingeandika ujinga huu badala yake ungeandika kinyume chake. Ukijiona mjadala unakuzidi uwezo Piga kimya tu. Wewe mijadala unayoiweza ni ile ya Mohammed Said sio hii inayohitaji kusoma na kufuatilia. Ficha upumbavu wako
We bwe.ge sana. Akili zako zimeshavurugwa. Huuwezi huu mjadala. Sasa mimi ndio mwandishi wa Rai mpuuzi wewe? Kabishane kwenye nyuzi za MS hizi sio saizi yako. Sirudii tena kujibu maupuuzi yako. Huna akiliAngalia unavyojichanganya na upumba.vu wako wewe si ndiyo umenipa hii link hapa chini.
Magufuli: Chunga kila hatua ya Kagame | Gazeti la Rai
Kisha ukaleta hii drama zako zingine ndiyo nimezijibu.View attachment 418837
Halafu unasema ujamtaja Magufuli au unaanza kuogopa kibao kitageuka Magufuli siyo JK kumbuka.
Toka lini umekuwa mpima mijadala humu JF usipanic twende taratibu tu wasomaji watusome.
Ficheni upuuzi wenu ufipa huko...Israel wanaitawala dunia na hawafiki 8milion. Fikiria sawasawa usikurupuke kujibu hovyo hovyo