RUTAGAMBWA
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 516
- 256
Ni waisraeli kabisa mkuu, na ndio maana Wana akili sanaWatutsi sio wayahudi sema wanajibatiza uyahudi ili wapewe misaada baada ya kuona wanawasiwasi wa kuja kusalitiwa na wabantu maana wana watawala ndugu zao hivyo wanatafuta mshirika nje ya afrika
Sent using Jamii Forums mobile app
Duu sasa hii kali bado tu mnamtafuta mzee wa watuAhahahaha Mzito Kabwela nasikia hata Dr. Ramadhan Dau, naye ni mtusi alifadhiliwa pesa akainunua club ya Newcastle ya Uingereza.
nchi ya kufikirika mbona mnawapaisha sana hawa jamaa unataka kutuambia wabantu hawana akili sio hiyo empire nimesikia siku nyingi sana alafu watusi ni watu wachache sana
Hata ukiandika kikwenu huubadilishi ukweli wa mawenge ya watutsi na kagame.Hizi porojo za ex FAR and genocidaires tumeshazizoea. Hakuna mashiko katika andiko hili. It is factually incorrect, morally reprehensible and socially preposterous. Tutsi ni wangapi na wana nguvu gani mpaka kuchukua sub saharan africa yote? Kwanza unajua jamaa zako wa FAR na interahamwe waliua watu wengi sana? Hakuna ukweli katika bandiko hili. Ni propaganda za akina hassan ngeze na wahalifu wengine wa genocide. Hatutaki chuki.
Braza Dogos mimi ni mTanzania ila nachukizwa na hizi articles za kueneza uongo na chuki dhidi ya Tutsi au Hutu au Twa au Ndengereko.Hata ukiandika kikwenu huubadilishi ukweli wa mawenge ya watutsi na kagame.
Sent using Jamii Forums mobile app
sio anawafananisha wao ndio huwa wanajifananisha hujawai sikia kagame anaongea hiyo kauli??Unawafananisha Watusi na Israel daaa! Kweli nakubaliana na ule utafiti.