Itakuwa mchezaji mpya mkuu hahaaaHemed ndio nani?
Simba hii hii inayojisingizia kuwalipia ada watoto yatima???tumetenga 100mil za kumsajiri huyo kijana.
Simba oyeeeeee
Mleta mada ajue hilo ndio maana hili neno likawepo (unsung heroes )wapo katika kada mbalimbali wengine heshima wanayopewa inakuwa ndogo tofauti na uwezo wao wengine ndio hivyo akishika shaba inageuka dhahabu. Paul Scholes na iniesta na gilberto silva nI zao la hawa mashujaa na si katika michezo tu hata katika kada nyingine mbalimbali.Namkubali sana Himid Mao amekamilika kama kiungo bora wa kisasa!
Naunga mkono hoja mkuuMleta mada ajue hilo ndio maana hili neno likawepo (unsung heroes )wapo katika kada mbalimbali wengine heshima wanayopewa inakuwa ndogo tofauti na uwezo wao wengine ndio hivyo akishika shaba inageuka dhahabu. Paul Scholes na iniesta na gilberto silva nI zao la hawa mashujaa na si katika michezo tu hata katika kada nyingine mbalimbali.