Hospitali mmeiboresha kimajengo naamini hata vifaa baadhi.
Tatizo lipo mapokezi madirisha matatu ya Bill na records. File la mgonjwa linatafutwa saa nzima alafu Kuna dada m1 mweusi dirisha no 1 kauli mbovu zisizofaa kwa wateja. Hili nimelishuhudia tarehe 5 na 6 November 2013.
nawasilisha.