Hip hop Facts Thread

Nas Ni conscious kuliko Eminem,ingawa Eminem naye sio kwamba ana mashairi mepesi
 
Tupac Shakur kwenye hiyo list alistahili kuwepo,na sio huyo mumble rapper lil wayne.
 
Jamaa anakwambia Eminem ni overrated..!
hapana anakosea Eminem alitokea kupitia rap katuni na serious hiphop ila kinachowapiku wengine ni huwa hapotezi radha za hiphop hata akifanya rap yeyote mfano kuna ngoma jay z ksfuata radha za trap mwisho wa siku kashindwa kumaintain
 
Aight Stan
I know you got all his underground and mainstream shit
Your room full of his posters and pictures
Which makes you his biggest fan
So who is I to disagree with yo muthaphuckin opinion.
 
Aight Stan
I know you got all his underground and mainstream shit
Your room full of his posters and pictures
Which makes you his biggest fan
So who is I to disagree with yo muthaphuckin opinion.
Call me whatever you wish man...
It won't change a shit..!
To me Em is the best rapper of all time, he's the rap God..!
Nas is nowhere near Em's level..!
You can cry if you wish..!!!
 
Nas is better than Eminem for real.Voca anazoshusha na message zake najihisi raha sa

Im listening......road to zion....[emoji444][emoji444][emoji444][emoji444][emoji444]
 
Andry - Hozina
Available now
Wadau wote wamumiki naomba muweze kusupport music mzuri wa Tanzania vipaji
Vipo hata kwa wasanii wadogo
Watch and you'll enjoy
 
Mh
hapana anakosea Eminem alitokea kupitia rap katuni na serious hiphop ila kinachowapiku wengine ni huwa hapotezi radha za hiphop hata akifanya rap yeyote mfano kuna ngoma jay z ksfuata radha za trap mwisho wa siku kashindwa kumaintain
Mh Jay Z?!Acha wewe huyu mtu anajua ana evolve na game yake,na anafanya anavyotaka naanaenda sawa.Em aliwahi kukiri huyu ni one of his fav rapper.Jay Z kwa sasa anakusanya hela,hajali charts za billboard anazingatia mauzo ambayo anatengeneza pesa kwa ajili yake zaidi kuliko zamani pesa nyingi ikienda def jam ,live nation na label nyingine major.Kuhusu kumaintain na Ku evolve huyu ndie mfalme wao
 
jay z,,,,,,hapana........
 
jay z,,,,,,hapana........
Mkuu Jigga hapana kwa nini?Msikilize katika nyimbo za ndani ya album,achana na za promotion.Sikiliza ngoma kama threat na usome mashairi, sikiliza ngoma kama imaginary playa, 20 bag shorty, D'evil, December 14,Success yuko na Nas,Black republican yuko na Nas,Dead president,What More Can I Say.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…