Idiot Embicile
JF-Expert Member
- Apr 30, 2019
- 1,037
- 1,974
Nakubaliana na wewe ila namba moja alitakiwa awe Jay Z L, Tupac arudi mbili.Eminem aende tatu halafu nne aje Nas.Poppa tano inamfaaList yangu ya wakali Wa hip hop Wa mda wrote
1.tupac
2.Eminem
3.jay z
4.big poppa
5.snoop
6.Scarface
7.nas
8.lil Wayne
9.jay rock
10.50 cent
Nobody is safe [emoji2417][emoji2417][emoji2417][emoji2417]Disasta vina ni kina joh sabini,...sio wakazi kadhaa wa kitongoji mkija njoo makini....
Yangu top 5 mbele ni..List yangu ya wakali Wa hip hop Wa mda wrote
1.tupac
2.Eminem
3.jay z
4.big poppa
5.snoop
6.Scarface
7.nas
8.lil Wayne
9.jay rock
10.50 cent
This is very fair [emoji2417][emoji2417][emoji2417][emoji1421][emoji1421][emoji1422][emoji1422][emoji1422]Album bora za hiphop za muda wote.
1. Ilmatic - Nas
2. The Marshall Mathers LP - Eminem
3. All Eyez on Me - Tupac
4. Ready to Die -Notorious B.I.G.
5. The Chronic - Dr. Dre
6. Reasonable Doubt -Jay-Z
7. Straight Outta Compton - N.W.A
8. The Eminem Show - Eminem
9. Get Rich or Die Tryin - 50 Cent
10. Paid in full - Eric B & Rakim
Hii ni according ya research yangu binafsi
Umesema moja awe nani?Nakubaliana na wewe ila namba moja alitakiwa awe Jay Z L, Tupac arudi mbili.Eminem aende tatu halafu nne aje Nas.Poppa tano inamfaa
Hapo kweny hip hop recently umemwachaje Niki mbishi aiseeYangu top 5 mbele ni..
All time
1. Biggie
2. Nas
3. PAC
4. Em
5. Snoop
Recently
1. K. DOT
2. COLE
3. DRAKE
4. PUSHA T
5. LOGIC
Bongo all time
1. HASHEEM DOGO (retired)
2. CHID BENZ
3. PROF JAY
4. LANGA
5. FID Q
Bongo recently
1. BIG STEREO
2. UNO INCREDIBLE
3. DIZASTA VINA
4. MSODOKI
5. NCHAMA THE BEST/MEX CORTEZ
sijakataa kama hayupo vizuri ila na swali kidogo kati ya jay z na nas yupi ni real hiphop na ni yupi mwenye mashairi bora kuliko wenzake ?..Mkuu Jigga hapana kwa nini?Msikilize katika nyimbo za ndani ya album,achana na za promotion.Sikiliza ngoma kama threat na usome mashairi, sikiliza ngoma kama imaginary playa, 20 bag shorty, D'evil, December 14,Success yuko na Nas,Black republican yuko na Nas,Dead president,What More Can I Say.
[emoji23][emoji23][emoji23]Umesema moja awe nani?
We jamaa utapigwa mawe
Lil Wayne wa album ipi hasa maana kwangu alianza sanda kwenye that Carter 3...Ila yule wa Carter 2 kurudi nyuma & wa zile Da drought mixtapes yule hasa ndo anayestahili hizo sifa uzisemazoTukiachana na masuala ya lifestyle,culture, impact kweny jamii, success na etcetra ambavyo ni hip hop
Tukaanza kuongelea vitu kama punchline metaphor,wordplay,similes flow etc ambavyo ni rap
The best "rapper" to ever live is lil Wayne
But not the best "hip hop" emcee
That's undebatable
Kwani sisi tunaongelea phases za watu..mbn hatujasema jayz wa promotion na jayz wa album au Kendrick wa before goodkis mad cityLil Wayne wa album ipi hasa maana kwangu alianza sanda kwenye that Carter 3...Ila yule wa Carter 2 kurudi nyuma & wa zile Da drought mixtapes yule hasa ndo anayestahili hizo sifa uzisemazo
Kwangu kumuweka generally hivyo inakuwa ngumu sababu siku hizi amekuwa hit & miss tofauti na kwa mfano hao uliowataja kwani kwa baadhi yao ilikuwa ni growth simply na sio kusanda...Kwani sisi tunaongelea phases za watu..mbn hatujasema jayz wa promotion na jayz wa album au Kendrick wa before goodkis mad city
Apo nmeongelea In general coz hata baada ya carter 2 mbn kuna ngoma nyingi kali alitoa though baadhi alifanya kuendana na soko
Lakin mfano 2 Skiliza 6foot 7foot afu uje uniambie ngoma ipi inazidi apo kwa punch
Hata Eminem alkuw kapotea akafanya comeback na kamikaze kama Wayne na carter5Kwangu kumuweka generally hivyo inakuwa ngumu sababu siku hizi amekuwa hit & miss tofauti na kwa mfano hao uliowataja kwani kwa baadhi yao ilikuwa ni growth simply na sio kusanda...
Kwangu kazi zake za siku hizi zinamchafua status yake
Ila nimekuelewa mzee na naheshimu mawazo yako pia
Inategemea na uonavyo kwangu Pusha bado mkali kimistari,Jigga anafanya grown man music siku hizi & Jigga+50 naona wapo kibiashara kuliko kimuzikiHata Eminem alkuw kapotea akafanya comeback na kamikaze kama Wayne na carter5
Jay z skuiz hana hit kabisa
50cent ndo nani??
Pusha T ndo kabisaaaa
ila we still respect kwa vitu walivyowah kuvifanya
Kwny game kuna birth,growth,maturity hata decline haikwepeki
Nakubaliana na wewe ila namba moja alitakiwa awe Jay Z L, Tupac arudi mbili.Eminem aende tatu halafu nne aje Nas.Poppa tano inamfaa
sijakataa kama hayupo vizuri ila na swali kidogo kati ya jay z na nas yupi ni real hiphop na ni yupi mwenye mashairi bora kuliko wenzake ?..
tuanze na hapo kwanza