Hip hop Facts Thread

TI kadondosha wimbo mpya uitwao DoPe bila shaka wana hiphop wa marekani wamerudi tena,alianza @FATJOE na jiwe lake @allthewayup,tutawasikia wengi soon
 
Pesa madafu ya Jay Moe inaweza kuibadili trend ya hiphop yetu hapa bongo. Ni wimbo ambao umezua mjadala mrefu kwa wanahip hop haswa kuhusu alichofanya Moe kama ni hiphop au ni ni kitu gani kaleta. Naamini Jay Moe kuleta new sound kwenye muziki wake kutamrudisha vyema kwenye game na kutaset trend mpya maana nimeona wanahiphop wengine nao wako na mpango wa kutrap. Hii inaweza kuondoa kasumba kwamba hiphop ni ile inayopita kwenye mstari wa midundo ya East coast au Westside. Hongera sana Jay moe kwa hii track.
 
J. Cole amemdiss Kanye West kwenye ngoma yake mpya False Prophets.





 
Album mpya ya J. Cole's yakuitwa 4 Your Eyez Only inatoka siku moja na siku aliyotoa album yake ya mwaka 2014 December 9 Forest Hills Drive .



 
Eminem ameshamualika mara kadhaa nyumbani kwake Chloe Greenfield, aliyecheza kama mdogo wake wa kike kwenye 8 miles. Alikuwa akimualika acheze na mabinti zake na kuendeleza urafiki.

 
Nominees for Best Rap Song at the 2017 Grammys
 
Nominees for Best Rap Performance at the 2017 Grammys

 
Kwani mkuu trap ni hip hop??
 
Billboard ni source makini ukitaka kupresent data za music, na hakika wamefanya research kabla ya kuja na hiyo list man.
Billboard is industry centric, kwenye hiphop you have to consider loco and underground MCs, yani pamoja na ufahamu wako kwenye hiyo list kumkosa mtu kana krs-one haikupi shaka?

Fuatilua hiphop vizuri, na hiphop ya kweli haiko billboard wala kwenye mainstream media....[/QUOTE]
Hawa billboard naona huwa wameegemea sana kwenye mainstream wanasahau kuwa handakini ndo kuna maemceez wakali balaa. Sijawahi wakubali hawa jamaa hata kidogo labda ni kwa vile naamini katika hip hop ya handakini zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…