Hip hop Facts Thread

kwa ku


Billboard ni source makini ukitaka kupresent data za music, na hakika wamefanya research kabla ya kuja na hiyo list man.
kwa kutomuweka 2pac bado haijakamilika...
 

Kitu kama hichi ni FULL of your FAKE PROPAGANDA nyimbo ya pesa madafu haina ART ndani yake. Ni full of samples from the scratch
The kicks,snares zinaigia MAMA I MADE IT ya cassper nyovest na hili ni kutokana na lack of creativity ya Producers na Artist wa kibongo
Jay moe anaiga hadi dancing style ya cassper
So when you say that shit again you better be right
Maana alichokifanya jay moe ni Kupunguza Tempo
 
Alichofanya J moe ni trap na trap zinapita kwenye njia inayofanana..Sioni kama amekosea sababu naona marapa wengi wametumia mtindo huo tofauti na tulivyowazoea na wamefanya vema mfano Songa na Zaiid Mnete.
 


Tuongelee kidogo album ya sasa ya Jay Z iitwayo 4:44

Ambayo P Diddy anasema ni moja kati ya album bora kwenye hiphop.

P Diddy amesema “4:44 ni zaidi ya album,Ni wajibu wa msanii Kuonyesha umekua,4:44 ina fikra tofauti na mabadiliko ya jinsi tunavyo fikiria,Jay Z anaushawishi mkubwa kwangu na kwa watu wengine,Tumpe Ushirikiano na tushirikiane kunyanyua bidha zetu”

Ukiangalia hii album mashairi yake, topic alizozizungumza, midundo aliyotumia utaona ni kwa namna gani Jigga anastahili heshima na ufalme wa hiphop.

4:44 ni kama falsafa fulani inahitaji uwe na ubongo mzuri kuelewa kilichomo.

My fav kwenye hiyo album ni marcy me na story of OJ.
 

Walk on water kwa mara ya kwanza inawakutanisha Eminem na Beyonce kwenye wimbo.

Kinanda kinachosikika amepiga Skyler Grey singer na songwriter ambaye pia aliandika chorus ya love the way you lie
 
Salute
 
Smile ni [emoji91] [emoji91] [emoji91] flames
Ila hio album ni kali yote kwa ujumla wake
 
Hawa billboard naona huwa wameegemea sana kwenye mainstream wanasahau kuwa handakini ndo kuna maemceez wakali balaa. Sijawahi wakubali hawa jamaa hata kidogo labda ni kwa vile naamini katika hip hop ya handakini zaidi[/QUOTE]
Exactly
 
Hawa billboard naona huwa wameegemea sana kwenye mainstream wanasahau kuwa handakini ndo kuna maemceez wakali balaa. Sijawahi wakubali hawa jamaa hata kidogo labda ni kwa vile naamini katika hip hop ya handakini zaidi
Exactly[/QUOTE]Yas what you say is true
 
Ata huu ni mtazamo wako pia.
 
Nafikiri baada ya wao billboard kufanya tafiti Pac hakubahatika kuwepo kwenye list. Wewe unafikiri kwa nini alistaili kuwepo?
Influence yake na ngoma zake kali, 2pac was somehow mwanamapinduzi, ana nyimbo kama whitemans world sasa unatarajia nini, si kama kutarajia media kama clouds watoe list ya wasanii wakali wa hip hop Tanzania then utarajie humo utakuta jina la Nash Mc au Nikki Mbishi, nakwambia katika hiyo list Ney wa mitego, madee wataingia teh teh
 
Mbona umenisemea sasa sijapenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…