Hip Hop G.O.A.T

Kumbe comment zako na mapovu yooote yakutokayo ni juu ya CHOICE zako wewe,yaani kwa binafsi ya matakwa yako na si kwa kilichopo mezani!!!!Basi sawa,yawezekana uko sahihi kwenye huo ulimwengu wako!!Lakini kwa sisi ambao tulikuwepo na tulikuwa na utambuzi tayari kipindi hiko cha kuanzia 80s mpaka sasa tupo....in fact you are way too wrong hata kwa choice hizo za binafsi yako!!Dhahiri hisia zinakutawala na labda huna facts au walau data.
 
Overrated tu hao licha ni kweli walikuwa ni wakali nakubali ila naona kama wanapata sifa ambazo zinapitiliza
Overrated!!!!You sound funny!!!Have you done any research on this matter au your comments are based on feelings?
 
true, kwenye still dre,Dre alifanya drums na mixing tu, lakini credits zote kwake
Hapo unasema "credits zote kwake" hauko sahihi.....maana hata Jay Z katajwa kwenye uandishi/composition ya mashahiri na chorous achilia mbali kinanda alichopiga Storch!!!Get your facts/data correct ili kuepusha a mislead.Kama hujui ni vema kupiga kimya.
 
Nani hapa anamfahamu Freddie Fox a.k.a Bumby Knuckles?? tafuteni nyimbo zake Who Knows Why na MCs Comes & MC's Go halafu mlete mrejesho hapa! Tatizo watu mnadeal sana na main stream artists ambao wanapata back-up kubwa sana ya media bila kuzingatia uwezo wao halisi.
 
Eminem atengwe aisee, huyu jamaa ni smartly mnooo
kuna ngoma zake
1. no love
2. love the way you lie
3. Stan
4. lose yourself
5. renegade

ni habari nyingne yaani hiyo No love Lil wayne kafunikwa vibaya sana
 
tuliza wenge wewe mbona unakuwa kama sio shoga? reality ain't always truth, naongea na mashabiki wa Dre hapa bongo,katika track ile imeandikwa Produced by Dre,na sio Dre & Storch na kazi kama hizi ni nyingi,huwezi ukasema Dre ni mkali kwa kazi alizoshirikiana na team ya watu wengi.wengi wanampa Dre sifa za moja kwa moja,hakuna anayesema team ya Dre ina producers wakali,ila kila mtu anasema Dre mkali
 
Jay zee ni mtu mbaya sana hasa kwa flow,
mi mwenyewe nilikuwa namchukulia poa tu nikaamua kumsikiliza kwa makini katika Ngoma zake za anything,hard knock life,empire state of mine,forever young
Hapo kwenye young forever hata ukinikurupia usiku wa manane nachana verse zake
Nauelewa sana huo wimbo isee
 
Sasa ulitaka niweke kwa mujibu wa choice zako wewe au? Mim nna'choice zangu kwa mujibu wa vigezo nlivyoona Mimi vinafaa, wewe pia unazo choice zako kwa sababu zako binafsi, jua tuu hii topic ni subjective kwahyo your number 1 anaweza kuwa namba tano kwa mwingne,

Halafu hayo masuala yako ya uzee sijui miaka ya 80 Mara 90 ulikua ushakua unajitambua hayanihusu Mimi wala hayahusu mada. Kwani hakuna wajinga waliozaliwa miaka hyo? Unathibitishaje kwamba wewe sio mmoja wao?

Acha dharau, jadili mada..huwezi kausha
 
Jay zee ni mtu mbaya sana hasa kwa flow,
mi mwenyewe nilikuwa namchukulia poa tu nikaamua kumsikiliza kwa makini katika Ngoma zake za anything,hard knock life,empire state of mine,forever young
Hio anything hua naisikiliza kila baada ya nusu saa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…