BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 4,869
- 13,137
Ni kweli ila wengi wamekomaa na akina 2pac na biggie wakati kuna miamba inajua kurap kweli.Nani hapa anamfahamu Freddie Fox a.k.a Bumby Knuckles?? tafuteni nyimbo zake Who Knows Why na MCs Comes & MC's Go halafu mlete mrejesho hapa! Tatizo watu mnadeal sana na main stream artists ambao wanapata back-up kubwa sana ya media bila kuzingatia uwezo wao halisi.
noma sanaHio anything hua naisikiliza kila baada ya nusu saa
Hebu mtoe Kendrick na J Cole kwenye hiyo orodhaHao ni underground pamoja
na
j cole
drake
kendrick lamar
lil baby
lil wayne
bow wow
sapy rocky
2 chainz
Nimtoe halafu nimpeleke wapi ?Hebu mtoe Kendrick na J Cole kwenye hiyo orodha