HIP HOP na chama chenye madaraka

Fuata upepo

Member
Joined
Aug 11, 2011
Posts
22
Reaction score
3
Hi! Mimi ni mfuatiliaji wa nyimbo hizi wanazoita HIP HOP! Lyrics zao huwa nazipenda na most huwa zinaelezea life ya bongo ilivyo tight na mafyongo ya wakubwa! But during campain wana edit hizo songs na kufagilia chama or kiongoz ovyo! izt a HIP HOP?
 
....................naogopa kufungiwa ningekutukana...........................
 
Njaa haina adbu mkubwa!Kibaya zaidi wenye power wanatumia njaa za watu ku retain power,,but any way!dont worry because freedom is arround the corner!
 
njaa mchezo???dhiki haina maana mkuu wacha wafanye tu hvo
 
....................naogopa kufungiwa ningekutukana..........................

hata mimi pia...ningemtusia waliomleta duniani
 
BONTA na ROMA
hawatetereki wakisimama wamesimama.

hasa kwenye mathematics wa roma anakuambia ...harudishi kadi ya chama kama nakaaya.. pamoja na dr bonta anakuambia ....nauza kura yangu shilingi ngapi..
 
hapo ndo huwa tunatofautisha MCs from Rappers.....
 
"The most potent weapon of the oppressor is the mind of the oppressed." - Steve Biko.
 
Mmmh Mkuu Hiphop???
Hao unao wasema ni wasanii tu tena wala sio ma-EMCEE!
Hiphop always remain clean... hata wakongwe walioikacha ni wao tu wamekwenda ila Hiphop ipo tu MILELE!

Wosia wa Salu T « TZhiphop

Cheki na hiyo kitu... hao ni watu wenye mawazo makubw kwenye Game... na ndio waliojenga misingi wa hichi cha leo!
Sauti ya hiphop ni sauti hai DAIMA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…