Kuna tofauti kubwa kati ya kwanza na rapper wa pili/wa pili anataka wa kwanza huku hajapata umahiri.........(ONE INCREDIBLE)
HIPHOP(MC) ni vile unavyoishi......RAP(Rapper) ni vile unavyofanya(RAPPER).....(FID Q)
MC- huyu ni mchenguaji yoyote ambaye anafata MISINGI na NGUZO katika uchanaji Yani handaki(mwakilishi wa mitaa) katika harakati zozote kwenye umma.
RAPPER-ni mchenguaji yeyote yule(whack) anachana kuhisisha uhalisia wake na hausiani na misingi au nguzo zozote za HIPHOP kiuhalisia ndiyo Maana hata Msaga sumu au chitokolo kuku na wenyewe ni marraper pia haaahaaa!
Tafuta kitabu kimoja kinaitwa CHUO KIKUU CHA HIPHOP kimeandikwa na MALLE MARXIST utajifunza mengi kwenye huu utamaduni wa HIPHOP!
Sent using
Jamii Forums mobile app