Jr Xavi Hernandez
Senior Member
- Feb 25, 2022
- 182
- 261
mfano Ngwair anakaa kama MC???Mmoja anaonesha kipaji chake cha kuchana,flow,Ku entertain,styles,mwingine anatumia MANENO kuelimisha jamii,kufunza na kuonya..
Bongo nani MC??Rapper kama wale wa singeli,young Lunya,wa kwenye ngoma...lil durk,lil Wayne,tekashi,MCs mfano ni Afande sele,Common,Talib Kweli,Lupe Fiasco,Immortal techniques, professor Jay,Sugu..
Nash, Fid Q, Dizasta vina, Msodoki nkBongo nani MC??
Kwahiyo hawa kina Lunya,Maarifa,Kontawa ni rappers tu. Vp Conboi?Nash, Fid Q, Dizasta vina, Msodoki nk
Kontawa sijamsikiliza sana ila hao wengine Yes.Kwahiyo hawa kina Lunya,Maarifa,Kontawa ni rappers tu. Vp Conboi?
mfano Ngwair anakaa kama
Ngwair ni rapper, hana ujumbe wala ufundi wa MANENO,but ana rhyme vizuri,flow on point,ana rap na kuimba,kama kwa Godzilla, pia rappers ni freestyler wazuri sana,ni Mara chache kumkuta Mc ana freestyle vizuri coz wao ni waandishi na watunzi,wakati freestyle kuunganisha tu MANENO yanayo ryhme..kumbuka kwenye hit em up Tupac alimwambia Big kua THIS IS NOT A freestyle Battle,since PAC sio mzuri wa freestyle but Big ndio Kazi zake..angalia moja ya rapper mkali Godzilla(RIP) Hakuna mkali wa mistari but he was real hiphop,.mfano Ngwair anakaa kama MC???
Kwa maana hiyo Profesa,Jay Mo ni Mc, kwa maelezo yako. Shukrani mkuu..Ngwair ni rapper, hana ujumbe wala ufundi wa MANENO,but ana rhyme vizuri,flow on point,ana rap na kuimba,kama kwa Godzilla, pia rappers ni freestyler wazuri sana,ni Mara chache kumkuta Mc ana freestyle vizuri coz wao ni waandishi na watunzi,wakati freestyle kuunganisha tu MANENO yanayo ryhme..kumbuka kwenye hit em up Tupac alimwambia Big kua THIS IS NOT A freestyle Battle,since PAC sio mzuri wa freestyle but Big ndio Kazi zake..angalia moja ya rapper mkali Godzilla(RIP) Hakuna mkali wa mistari but he was real hiphop,.
Shukrani sana....Kuna tofauti kubwa kati ya kwanza na rapper wa pili/wa pili anataka wa kwanza huku hajapata umahiri.........(ONE INCREDIBLE)
HIPHOP(MC) ni vile unavyoishi......RAP(Rapper) ni vile unavyofanya(RAPPER).....(FID Q)
MC- huyu ni mchenguaji yoyote ambaye anafata MISINGI na NGUZO katika uchanaji Yani handaki(mwakilishi wa mitaa) katika harakati zozote kwenye umma.
RAPPER-ni mchenguaji yeyote yule(whack) anachana kuhisisha uhalisia wake na hausiani na misingi au nguzo zozote za HIPHOP kiuhalisia ndiyo Maana hata Msaga sumu au chitokolo kuku na wenyewe ni marraper pia haaahaaa!
Tafuta kitabu kimoja kinaitwa CHUO KIKUU CHA HIPHOP kimeandikwa na MALLE MARXIST utajifunza mengi kwenye huu utamaduni wa HIPHOP!
Sent using Jamii Forums mobile app