Hip-Hop's Wealthiest Artists 2015

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
94,296
Reaction score
122,540
Source

Cc: The Boss



 
Hakuna cha Dre wala Pdidy, Diamond anaongoza
 
Diddy is the man......Revolt itamuweka kwenye billionaires list soon

But sijamuelewa Dre....wameuza Bilion 3 yeye apate 500? why?
wenzie wamemzidi akili?
 
Diddy is the man......Revolt itamuweka kwenye billionaires list soon

But sijamuelewa Dre....wameuza Bilion 3 yeye apate 500? why?
wenzie wamemzidi akili?

Dre alikuwa na 25% stake kwenye Beats hivyo baada ya kodi makato ndo kabakiza hizo 500.
Hapo ndo waiona kodi mbaya
 
And the wealthiest musicians of all the time?
 
Dirty money, jamaa ni mjasiriamali haswa. Ila ningependa jua kwa mauzo ya music yao, pamoja na showa nani yupo juu, katka HIPHOP..…?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…