HIPHOP vs BONGOFLEVA

Mkare_wenu

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2011
Posts
1,714
Reaction score
448
Nimehudhuria show nyingi za pamoja kama Fiesta zinazowakutanisha wasanii wa muziki wa aina tofauti.Nimegundua wasanii wa Bongofleva a.k.a wabana pua huwa wanapotezwa vibaya na wasanii wa Hiphop,wakipanda stejin wabana pua hadhira inakuwa doro ila akipanda mtu wa Hiphop anapata shangwe za kutosha mfano: Fid,Roma,Joh,FA,Stamina,etc.

Sasa nashindwa kuelewa huu msemo wa HIPHOP HAIUZI unamaana gani,ni mauzo yepi yanayoongelewa hapo?
 
ni vitu viwili tofauti...
1. Mauzo sokoni.
2. Kushangiliwa stejini.
 
kbaadilishe title kule kwenye dimond ni noma isomeke Hip Hop ni noma.
 

wewe ni kizazi cha wapenda FM..haujifichi.
 
ni vitu viwili tofauti...
1. Mauzo sokoni.
2. Kushangiliwa stejini.

sokon wapi wakati wasanii wote wanakwepa kupeleka kaz zao sokon.I mean karibu wote wamegoma kupeleka albam sokon
 
Hilo halina ubishi Hip hop ina tisha hata kwenye hilo tamasha hip hop ili lipendezesha sana!
 
Hip-Hop haiuzi kwa sababu haipatikani kwa wadosi, Huku mtaani ndio tunajua inauza..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…