Nilipokuwa nakua, nilikuwa nasikia muziki wa Ghana uliojulikana kama Highlife ambao ulikuwa unapendwa sana na wazazi pamoja na dada zetu. Kizazi cha sasa kimeweza kugeuza mtindo wa Higlife na kuugeuza kuwa Hiplife. Nimependa jinsi vijana hawa walivyoweza kuendeleza muziki wao kulingana na wakati.
[ame=http://www.youtube.com/watch?v=xcNOuWn4sGc]YouTube - Mzbel - Edey Bii[/ame]
[ame=http://www.youtube.com/watch?v=DfBVmYB9U8I]YouTube - Awoso me[/ame]