Cytochrome p450
JF-Expert Member
- Mar 19, 2019
- 5,638
- 15,044
Hippopotomonstrosesquipedaliophobia
Najua hujalimaliza kusoma![emoji1]
Hilo neno linatumika kuelezea tabia ya mtu kuogopa maandishi marefu.
(Uoga wa maandishi marefu)
Neno "hippopotomonstrosesquipedalio" ndio neno refu kwenye kamusi ya kiingereza, ndio sababu wakalitumia kuelezea hiyo phenomenon.
Kama ulishindwa kumaliza kusoma hilo neno.. Jibu utakuwa unalo![emoji16]