Eyenova2023
New Member
- Dec 28, 2023
- 4
- 0
Kuweka jina la Medical Receptionist limeongeza tu maana ya kwamba Receptionist anafanya kazi katika sekta inayohusika na afya. Hivyo vigezo bado ni vile vile vya Receptionist. Pia ukumbuke kwamba huyu Receptionist ana deal na wagonjwa sio Receptionist waameneo mengine ambayo hayahusiki na wateja ambao wanakuwa ni wagonjwa hivyo wanahitaji mtu anayeweza kuwajali zaidi ya kawaida.Sasa hapo si mngeaajiri health personnel kama nurse assistant au medical attendant afanye kazi ya mapokezi
Siku zote anayeajili ndiye anayejua anahitaji mtumishi wa vigezo na aina gani.Wenzenu muhimbili wanaajili kidato Cha nne na certificate ya mapokezi Basi,udsm wanatafuta rec.. kidato Cha nne na certificate ya rece.., serikali Tena, nyie vigezo vikubwa alafu watu binafsi.