Hirizi ya Simba ya Freemasons vs Hirizi ya Simba ya mchawi au mganga wa kiafrika

Hirizi ya Simba ya Freemasons vs Hirizi ya Simba ya mchawi au mganga wa kiafrika

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
18,037
Reaction score
33,681
Kwamba ukiwa Na hirizi ya Simba uta demonstrate sifa, nguvu Na uwezo kama WA mnyama Simba kama vile kuogopeka nakadhalika.

Muumini WA Dini ZA kiafrika ( ambae anaweza kuwa muislamu au mkristo) mchawi WA kiafrika, mganga wa kiafrika, mchawi WA kiarabu, mganga WA kiarabu akitaka hirizi ya Simba ataenda Mikumi kuzungumza na Afisa Wanyama Pori kumwambia " Bwana nahitaji kununua hirizi ya Simba au siku mkibahatika kupata hirizi ya Simba basi wasiliana Na Mimi nije niinunue. Au ataenda straight Kwa mganga anae toa hirizi ya Simba ili apewe hirizi hiyo

Alternatively anaweza kunywa damu mbichi ya Simba ili Ile roho( force of life ) ya Simba ihamie kwake . Wengine hupika Na Kula Moyo WA Simba, wengine hutengenez hirizi Kwa kutumia vitu mbalimbali kutoka Kwa mnyama Simba, vitu kama vile Meno, mkia, mifupa, Ngozi, mafuta, mavi, mkojo, nywele nakadhalika...


But FREEMASONS WAKITAKA HIRIZI YA SIMBA HUFANYA KAMA IFUATAVYO:

Humsoma Simba kupitia maandiko mbalimbali ya Kitaalamu yaliyo Yuwa Na walio fanya tafiti mbalimbali ZA Kitaalamukuhusu Simba.

Katika maandiko hayo jamaa watasoma kuhusu tabia ZA Simba, mienendo ya Simba, jinsi anavyo winda, jinsi anavyo husiana Na wanyama wenzake , jinsi anavyo husiana Na wanyama wengine, strength and weaknesses zake, jinsi anavyo attack, jinsi anavyo defend Na kwanini Wanyama wengine wanamuogopa nakadhalika.

Masonic huyu akisha zisoma Na kuzielewa tabia ZA Simba,huanza kuzi iga Na kuzipractice Na mwisho WA siku huzi adapt kabisa .

Huanza kuendesha mambo Na mipango yake katika sura Na taswira ya Simba. Mwisho WA siku Masonic huyu huwa kama Simba kabisa Na hufanya mambo yake katika eneo lake la kazi/ shughuli yake kama anavyo fanya Simba Na hu acquire sifa zote ZA Simba kama vile kuogopeka Na kuheshimika, Kauli yake kusikilizwa nakadhalika..


Huyu ndugu yangu mswahili hatopata matokeo ya Kile anacho kihitaji Kwa Sababu NJIA aliyo tumia sio sahihi. Masonic ndio ametumja NJIA Sahihi.

Mswahili akitaka kuwa Na Bahati kama ya mtende kuotea jangwani basi ataenda kufanya kafara chini ya mti WA mtende kumuomba kudama/ Jini anae tawala mti WA mtende awe pamoja nae ili amfanye Na yeye kuwa Na Bahati kama ya mtende lakini Masonic kama akitaka kuwa Na Bahati kama ya mtende basi atasoma sifa ZA mtende ZA Kitaalamu Na mwisho ata anza kuzipractice Na hatimae Ku manifest results zenye sura Na taswira ya mtende. Kwa mfano atagundua kwamba ili mtende uweze kuota jangwani lazima uwe Na mizizi Imara basi Na yeye kwenye Jambo lake kama Ni biashara Kazi ndoa au uongozi atahakikisha anaweka mizizi Imara, mizizi itakayo msaidia kustawi Na kusimama hata katika kipindi ambacho mazingira hayata mruhusu kusimama etc. mifano IPO Mingi Sana.

I hope umejifunza kitu kikubwa katika Maisha yako.

U can be anything in the world kama utaiga maarifa hayo ya ndugu zetu Masonic.
 
Ushindwe Katika jina la Yesu,
Mpokee Yesu Katika maisha Yako awe bwana na mwokozi wako Katika shida,ukiwa na Yesu hutakua na shida kamwe atakutua mizigo Yako!
(In Black Jew voices from Buza)
 
Kwa hio simbavni intelkigent kuliko binadamu mpaka tuigeienenfo yake? Simba zaidi ya kuua kuna jipya gani lingine, hivi muungurumo wa simba na machine gun upi unatisha ?
Iga binadamu kwa sababu simba hana akili kumzidi binadamu.
Simba ameshindwa hata kuhifadhi nyama sliowinda ili ale kesho huku binadami anahifafhi chakula hata miaka.
 
Mshana Jr si umsaidie huyu kijana kumuambia kiafrica amekosea kabisa haiko hivyo?
mbona anaongelea mambo asiyoyajua kabisa na kulisha watu matango pori?
anyway shida pia nadhani wa africa wengi wanajua uchawi wanaoona bongo muvi ndio uhalisia kabisa wa hizi mambo
 
Mshana Jr si umsaidie huyu kijana kumuambia kiafrica amekosea kabisa haiko hivyo?
mbona anaongelea mambo asiyoyajua kabisa na kulisha watu matango pori?
anyway shida pia nadhani wa africa wengi wanajua uchawi wanaoona bongo muvi ndio uhalisia kabisa wa hizi mambo
Nimefika kwa wakati sahihi.. Ngoja nisome kwanza [emoji1545]
 
Kwa hio simbavni intelkigent kuliko binadamu mpaka tuigeienenfo yake? Simba zaidi ya kuua kuna jipya gani lingine, hivi muungurumo wa simba na machine gun upi unatisha ?
Iga binadamu kwa sababu simba hana akili kumzidi binadamu.
Simba ameshindwa hata kuhifadhi nyama sliowinda ili ale kesho huku binadami anahifafhi chakula hata miaka.

Binadamu analo la kujifunza kutoka kwa kila mnyama mifano ipo mingi sana. Kunyonya **** tumejifunza kwa paka, doggystyle kwa mbwa.

Hata masihi alisema iweni wapole kama huwa na werevu kama nyoka
 
Back
Top Bottom