His days are numbered

Tatizo akili zenu mmeziwekeza kwa watu. Hivi yeye alipomdhihaki Pengo ilikuwa haki? Pengine hayo ndio malipo ya kumdhiahaki Pengo wewe unajuaje?
 
Ndugu, huu ujumbe umetoka kwake au ni matokeo ya hasira zako? Biblia inasema usinene kwa hasira kwani inazaa huzuni. Jibu lako la kwanza lilikuwa sahihi zaidi.
Huyu mtu hamfahamu Mungu wako ndio maana kamtukana. Shetani alijiinua kuliko MUNGU na mpaka leo yupo hai' kwanini huyu afe ndipo ukuu wa MUNGU udhihirike? Mbona watu wanaua hadi watumishi wa MUNGU na hawajafa ili utukufu wake udhihirike kwanini huyu afe kwa sababu amemtukana kupitia wewe? Nafikiri hizo ni hasira zako tu' msamehe then move on, ya MUNGU mwachie yeye na kiumbe chake yeye Ndo anajua kwanini kipo Hai hadi leo.
 
A servant of God! You mean that self-styled preacher? Porno actor! No way! Let him be disciplined unless God is for the wicked. I hope you are not the one because how can you have a time space for such stupid, lustrous, unscrupulous, megalomaniac, and all what you would imagine being part of nonsensical set. It was Mbasha, then someone and others and now porno display.

Hopeless!
 
He shall never be disciplined as since God is by him,a faked Video cannot collapse him ,but his perpetrators like you will have their robes stripped off in public and will run away in shame
 
Mkuu wengi wanachezea Jina takatifu, mwisho wao ni majuto mjukuu.
 
Kama jiwe, nawe anatakiwa atubu kwa kuua na kupoteza watu mchana kweupe.
 
He shall never be disciplined as since God is by him,a faked Video cannot collapse him ,but his perpetrators like you will have their robes stripped off in public and will run away in shame
Tell us about Mbasha case. Also faked?
 
Para ya pili toka mwisho imehafifisha ujumbe na kukufanya uwe sawa na unayemtukana. Ungempuuza au kuwa positive zaidi ingependeza sana hata mbele za Mungu!
 
sa ukitumia mamisamiati magumu ndo tujue umesomea CAMBRIDGE? BUSH, OBAMA NA TRUMP WAMEZALIWA KWENYE LUGHA HIO WANAONGEA SIMPLE ENGLISH
 
Tell us about Mbasha case. Also faked?
Good enough you have the entire story of Flora,the harlot woman who recently got married to a young man,it had been the hallucination of Mbasha to accuse Gwajima,but now Mbasha has finally learnt the truth,and Gwajima has stayed away from any accusations concerning that saga
 
sema hivi, hawa si watumishi wa Mungu, bali watumwa wa shetani. Wewe unamtukana shetani na mambo take. Uko sahihi. Mungu hapendi hizo taka taka.

Mzee naona unazunguka mbuyu....

Root of all evils ni huyo Mungu mwenyewe if at all he exists of which I really do not have evidence kama yupo!

Wengine,ni wale walioanzisha hizi dini....dini ni most tragedy ever invented by human beings!

Maumivu ni mengi zaidi ya faida!

Human mind is so so susceptible to destruction of his own self existence!
 
Sasa kwa Akili zako Gwajima Ni Mtumishi wa Mungu????
Gwajima Ni Mjasiriadini
 
"Mpumbavu,Moyoni Mwake Husema HAKUNA Mungu"

"Neno la msalaba kwa wasioamini Ni Upuuzi,Bali kwetu sisi Ni Nguvu Ya Mungu"

Naomba usipende kutukana au kukashifu Imani za Watu

Imani kama concepts zingine zozote ni open for scrutiny and ridicule!

Through scrutiny and ridicule then these concepts improves...

The funny thing is,dini people want dini to have a pass!

No!

Dini is a very stupid concept na ni ya kis3nge sana.....

Mistari uliyoniandikia,kaandika mpumbavu mmoja mwenye akili robo na moyo mweusi kama wangu na wako,ana mapungufu yote ya kipumbavu kama mimi na wewe,then sentensi alizotoa kama unaamini zina divine intervention then wewe utakua na matatizo ya akili and we can not help you!
 
Hiyo Ni Imani.
kutoamini hakuna Divine/Mungu/Shetani Ni Imani pia.

Hata wewe Ni mtumwa wa IMANI.
katika "Imani ya HAKUNA Mungu"

Vyema, Endelea na imani yako.lakini c vyema kukashifu Imani za wengine.
 
Wyatt una matatizo ya akili kama sio msongo wa mawazo unakusumbua.

Aisee, tubu hiyo dhambi Mkuu!

Mzee baba naona umekua daktari unapima watu online na kujua matatizo yao!

Shida mpo locked kwenye chungu,hamjui dini ni very very flawed concept na ni based na lies!

Dini haijajengwa kwenye misingi ya truth,ni full of lies and intimidation,hivyo wote mpo chained tangu mnazaliwa mpaka mnakufa...

Dini should be able to accept criticism and improve from lies!

Watu wanaoamini dini ndio shida kubwa sana dunia hii....

It is very very dangerous on this earth a human being to do something blindly because some imaginary being in the heavens approves it through the so called his "texts" written 2000 yrs ago!

Very dangerous!
 
Mbasha being a prostitute does not matter and not needed to vindicate Gwajima as a collaborator.
 
Piga goti na utubu.

To who?

Shetani or Mungu?All are the same,the opposite of each other!

Plus,for me,they both do not exist,ni mahangaiko ya wanadamu of the fear of afterlife na mahangaiko ya shida za dunia of which these imaginary beings have no control of whatsoever!

It is all drama,and wastage of time!
 
sa ukitumia mamisamiati magumu ndo tujue umesomea CAMBRIDGE? BUSH, OBAMA NA TRUMP WAMEZALIWA KWENYE LUGHA HIO WANAONGEA SIMPLE ENGLISH
Mmmh! sema tatizo lako hujawahi kuyasikia maneno hayo. Mi niliyasikia form 3 wakati najifunza kusoma literature. Uko darasa la ngapi?
 
Hiyo Ni Imani.
kutoamini hakuna Divine/Mungu/Shetani Ni Imani pia.

Hata wewe Ni mtumwa wa IMANI.
katika "Imani ya HAKUNA Mungu"

Vyema, Endelea na imani yako.lakini c vyema kukashifu Imani za wengine.

Unafeli..

Sio imani.....sehemu ambayo inatakiwa pawe na imani kwangu pana zero,yaani emptiness!

Kama emptiness ni imani basi sawa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…