EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
Mmmh! sema tatizo lako hujawahi kuyasikia maneno hayo. Mi niliyasikia form 3 wakati najifunza kusoma literature. Uko darasa la ngapi?
Kwani wewe ulimuelewa vipi Gwajima?THIS COULD BE A FALSE FLAG WAR!
HOW DID YOU REACH YOUR CONCLUSION THAT MR. SO & SO IS RESPONSIBLE?
Kwa hiyo dua mbaya umemfungua huyo ndugu..!Ni bora ungeishia kunitukana mimi binadamu mwenzako kuliko kumtukana Mungu,kiburi chako na dharau zako ungemalizia kwangu na siyo kwa Mungu,sasa nakupa siku saba kuanzia leo uombe toba ya rehema kwa Mungu ili akusamehe kwa kumtukana.
Usipofanya hivyo tarehe 9/5/2022 Mungu atasitisha maisha yako,na kama utaendelea kuishi baada ya hiyo tarehe basi Shetani atapewa utukufu kuliko Mungu.
Jamaa amekosea ndio, ila naww nimbuzi tu kwamamlaka gani yakupanga tarehe yamtu kufa.Ni bora ungeishia kunitukana mimi binadamu mwenzako kuliko kumtukana Mungu,kiburi chako na dharau zako ungemalizia kwangu na siyo kwa Mungu,sasa nakupa siku saba kuanzia leo uombe toba ya rehema kwa Mungu ili akusamehe kwa kumtukana.
Usipofanya hivyo tarehe 9/5/2022 Mungu atasitisha maisha yako,na kama utaendelea kuishi baada ya hiyo tarehe basi Shetani atapewa utukufu kuliko Mungu.
Ukitaka kujua kama mimi ni mbuzi au Buzi mtafute huyo mpumbavu mwenzako baada ya tarehe 9/5/2022.Jamaa amekosea ndio, ila naww nimbuzi tu kwamamlaka gani yakupanga tarehe yamtu kufa.
My son drinks water.(Habitual:correct)
My son,drink water!(Commanding:correct).
Correct but then put a comma in front of the word daughter (commanding).If leave it like that, it is a different sentenceOoh that's an order,it's like saying that, " my daughter go to school".
Uko sahihi.Yeap.Lakini ID ya mleta hoja haina hiyo comma (Commanding) halafu anapost kiingereza
There you are.Correct but then put a comma in front of the word daughter (commanding).If leave it like that, it is a different sentence