Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,095
- 4,632
Bwana Yesu alizaliwa ili atusaidie kuondoa dhambi zetu. Je Amefanikiwa?
Hili ndilo jambo la kujiuliza kila mmoja wetu kama Yesu Kristu alifanikiwa katika mission Yake.
Sasa neno "dhambi" siyo kila mtu anapenda kulitumia.
Kwa sababu,katika kabila letu kwa mfano, mwanamke hawaruhusiwi kula mayai,ni dhambi.
Lakini yapo mambo ambayo vyovyote tutakavyoyaita yanaleta usumbufu kwa wengine au yanasababisha tunaharibikiwa katika mambo yetu.
Hayo ndiyo mambo ambayo lazima tuyaache.