Hisa hisa hisa hisa

Joined
Oct 4, 2013
Posts
5
Reaction score
0
Wadau wa jf kwa wanao taka kuchangia hisa zao ila kuanzisha kampuni tujiorozeshe apa wazo la biashara liko tiari. Changamkia fursa
 
Mi jiko tayari...but ningeaomba kujua hilo wazo la biashara hata kwa pm plz...
 
Wadau wa jf kwa wanao taka kuchangia hisa zao ila kuanzisha kampuni tujiorozeshe apa wazo la biashara liko tiari. Changamkia fursa

Biashara gan ndugu na ueleze angalau mchanganuo wake, hisa ni kiasi gan.. Weka mambo wazi ili wadau wachambue na kujiridhisha, mbona kama unaficha.
 
kaka nakuunga mkono kwa hyo idea na sidhan kama hapa ni nafasi muafaka kwa wewe kutoa hyo idea mana kuna watu always kucriticiz au kuiba idea ya mtu.

Mungu akufanikishe katika hiyo plan kaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…