duh... sawa mkuu nimekusomaNilisema hapahapa JF katika thread ya Charles Kimei kuwalipia wafanyakazi wa CRDB nauli na malazi kutoka mikoani waje Dar kwa shughuli extravagant za kidini.
You don't need to be a Joshua to see these things.
Just as you don't need to be a Joshua to know that around Eid folks around our isles tend to overload motor vessels and risk a yearly trend of marine "accidents".
duh... sawa mkuu nimekusoma
Sorry sikuona hiyo comment
My bad!!
PS: angalia wazenji wasikushukie na albadir tu mkuu, hawana dogo
Speculators may do no harm as bubbles on a steady stream of enterprise. But the position is serious when enterprise becomes the bubble on a whirlpool of speculation. When the capital development of a country becomes a by-product of the activities of a casino, the job is likely to be ill-done.
Halafu unajua wazi kwamba mie napenda mtu anisomee albadir ili nipate nafasi ya kutamba "Al-badr done shot me, I took it in stride, watch Kiranga ride with pride and abide then hide by the wayide, cause he is like a tide, or a tidal wave,send you knaves and braves to an early grave as a fave"
Kushuka kwa bei ya hisa is not always bad news, or more precisely, is not bad news to all. Huo ndio wakati wa kununua. Look at CRDB, do you seen any sign that CRDB will go down? if not then buy the cheap shares andnwait for the value to grow.
...Marcopolo, You are Right, It is no bad news at all. labda tatizo liko hapo anaposema kuwa wamekataliwa kuuza hisa zao. wamekataliwa na nani? Nadhani wangeachia tu mwenye hisa zake na woga, ajitose baharini kwa kuziuza.... na aje kujuta baadae zitakapopanda bei!!!!
Mkuu Chimbuvu, hivyo ulivyo vitaja ni viuongo muhimu sana, Taswira ndio soko lenyewe ila nashangaa kwanini benki hii mpaka leo haioni jina la Community Rural Development Bank, (CRDB)Bank laweza kua tatizo kwa wawekezaji nje ya mipaka ya Tanzania.Ukiwa unafanya selection ya share angalia management,financial statement,brand name.
Selikali iingilie kati itusaidie vinginevyo DSE itakufa wakidhani wana ikinga matokeo yake ni kufa kabisa, nadhani karibia miaka 3 sasa, tulinunua kwa shs 150 @ mbali na mfumuko wa bei wa kitanzania wastani wa 18% kwa mwaka, kwa maana hiyo 18x3=54% ni sawa kusema leo hii hiyo hisa tumeinunua kwa shs 150 + 54% = shs 231 @, leo sokoni inauzwa shs 108,,,,,,,,, HASARA ! !HASARA ! !HASARA ! !HASARA ! ! Shs 231 -108 =shs 123 HASARA ! ! 82% loss,,,,,,,, Bado walivyo wazurumati wanakuzuia usiuze kwa nini uzuiliwe kuuza hata hicho kiducu kilicho baki ? ? ? kweli MJANJA ANAKULA KWA MJINGA,,,,, Au basi waturuhusu iwe dhamana (collateral) ya mikopo ili tutumie pesa yetu wenyewe bado tuwalipe riba ,,, BADO HAWATAKI.... LENGO LAO NI NINI ? ? ? ?
Ukiwa unafanya selection ya share angalia management,financial statement,brand name.
Kushuka kwa bei ya hisa is not always bad news, or more precisely, is not bad news to all. Huo ndio wakati wa kununua. Look at CRDB, do you seen any sign that CRDB will go down? if not then buy the cheap shares andnwait for the value to grow.
Ni kweli mkuu. Mimi moyo uligoma kabisa kununua hizi za CRDB. Wakati Twiga Cement wana float hisa zao sokoni nilikimbilia na nikaishia kurudishiwa kiasi fulani cha pesa maana mahitaji yalizidi kiasi cha hisa. Wakati huo zilikuwa zinauzwa kwa Tshs. 435 na leo zinauzwa Tshs.2500 kwa hisa, a good deal.
Wazenj rafiki zangu,
Karibu nawafanya shemeji zangu kwa hiyo kama hawataki dada zao kuolewa albadir karibu.
Halafu unajua wazi kwamba mie napenda mtu anisomee albadir ili nipate nafasi ya kutamba "Al-badr done shot me, I took it in stride, watch Kiranga ride with pride and abide then hide by the wayide, cause he is like a tide, or a tidal wave,send you knaves and braves to an early grave as a fave"
Jivin, jivin.
Is it Friday yet?
Bongo hatuwezi kuwa na a stable Stock market mpaka tuwe na some semblance of a "Security and Exchange Commission".
Na hata hapo I doubt. I mean wajinga wana manipulate LIBOR, itakuwa Stock Exchange ya Dar?
And what about the Keynesian curse? In perfect gentry undertsatement from "- John Maynard Keynes, The General Theory of Interest and Employment, Ch. 12, pp. 159"
Like you said, we are still in our version of the age of the "Robober Barons", if yknaaamean.
Ni kweli mkuu. Mimi moyo uligoma kabisa kununua hizi za CRDB. Wakati Twiga Cement wana float hisa zao sokoni nilikimbilia na nikaishia kurudishiwa kiasi fulani cha pesa maana mahitaji yalizidi kiasi cha hisa. Wakati huo zilikuwa zinauzwa kwa Tshs. 435 na leo zinauzwa Tshs.2500 kwa hisa, a good deal.
Kiranga must have meant "Robber barons"!!
Mwaka gani umenunua? Ume figure in inflation?
Mkuu Mashauri naomba unikumbushe hiyo shs 435 IPO ilikuwa lini angalau tuweze kutafuta growth rate yake na pia wametoa dividend mara ngapi kila baada ya muda gani na amount, compare to inflation(15%-22%) then niweze vilevile ni compare na other long term investment zilizopo na hasa tukichukulia cost of capital kwa sasa ni 28%-36% tafadhali wenye hizo data naomba msaada wenu...
mbona anauza ashikrimu pale DSENa BAKHRESSA kwa nini hajisajili,akauza Shares zake,nikazigombania?