Mkuu Mashauri naomba unikumbushe hiyo shs 435 IPO ilikuwa lini angalau tuweze kutafuta growth rate yake na pia wametoa dividend mara ngapi kila baada ya muda gani na amount, compare to inflation(15%-22%) then niweze vilevile ni compare na other long term investment zilizopo na hasa tukichukulia cost of capital kwa sasa ni 28%-36% tafadhali wenye hizo data naomba msaada wenu...
Kweli mvumilivu hula mbivu,,,, mambo yamebadilika kabisaaaa , Hisa za CRDB sasa motomoto leo imefika shs 235 toka shs 110 ,,, kama vile siamini bado kidogo tu tuanze kuhesabu faida usije jidanganya kuwa tayari ni faida sababu ulinunua shs 150 @ ? ? ? kumbuka ni miaka ngp toka 2009 PANA INFLATION KUBWA SANA HAPO,, kwa wahasibu walivyo wajinga watasema pana CAPITAL GAIN KUBWA 235-150=85 eti hiyo kwao ni faida na wanaitoga hata kodi hiyo Wapuuzi sana, Inflation is about 16% in avg 16x4=64%,,,, shs 150+64%= shs 246 that is Present value ya hiyo hisa.... watanzania wengi wanalanguliwa kwa kutojuwa TIME VALUE OF MONEY, karibuni sana kwa ushauri
Naomba msaada wenu nataka kununua hisa niende wapi?mahali ilipo wanapouza hisa.
With the current leadership I saw this coming down the pipes.
Msihofu sana maana CRDB inazidi kukua na sasa ipo Burundi pengine pesa za kulipa wana hisa wanatumia nyingi kwenye uwekezaji kwa ajili ya faida ya baadae sana.